Watoto wakionekana wakiangalia bango la tangazo la sinema hapo Sinema ya Malindi au CineAfrique kama ilivyokuwa ikijulikana enzi hizo. Sh 300 ilikutosha kuona mchezo wa James Bond
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
eneo ...
0 Comments