Mchezaji wa Timu ya New West akijaribu kuwapita wchezaji wa Timu ya Africa Magic wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mpira wa Kikapu uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Africa Magic imeshinda kwa Vikapu 59 - 48.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
2 days ago
0 Comments