Upanuzi
wa Barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara –Kibaha unaendelea kwa
kasi kubwa kama inavyoonekana pichani katika maeneo ya Kimara, Mbezi na Kibamba
hivyo kuanza kupunguza msongamano mkubwa wa magari katika barabara hiyo ya
Morogoro. Picha na Ikulu
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
10 hours ago




0 Comments