Moja ya Skuli za Sekondari za Kisasa zilizojengwa katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar moja wapo ni hili la Kibuteni Mkoa wa Kusini Unguja likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake na kutowa huduma ya Elimu ya Sekondari kwa Watoto wa Mkoa wa Kusini Unguja.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago
1 Comments
Watasoma wanafunzi wa darasa la ngap watakao soma????
ReplyDelete