Mchezaji wa Timu ya Mafunzo akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Kipanga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong. Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
eneo ...
18 hours ago
0 Comments