Wafanyakazi wa Kampuni ya Kichina inayojenga Barabara ya Kisasa kuazia Kwa Nyanya hadi Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiendelea na ujenzi huo kama inavyoonekani pichani wakiwa kazi katika eneo la Mahonda.
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
eneo ...
8 hours ago
0 Comments