Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Ndg. Talib Ali Talib alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar , akiwa katika ziara yake katika Wiulaya ya Mjini Unguja na kuzungumza na Wanachama wa CCM.
WAKULIMA WA KIPANDE-NKOAVELE KUONGEZEWA MITA 1000 YA MIFEREJI YA UMWAGILIAJI
-
WAKULIMA zaidi ya 650 katika kijiji cha Kipande-Nkoavele, Halmashauri ya
Meru katika Mkoa wa Arusha kunufaika na mita 1000 za mifereji ya
umwagiliaji kwa...
2 hours ago
0 Comments