Kuzimika kwa umeme hakutokani na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) bali ni kunatokana na khitilafu zilizotokea huko Shirika la Umeme Tanzania TANESCO. Hayo ni kwa mujibu wa Msemaji wa ZECO Bw. Salum Abdallah. Vuteni subra kidogo matengenezo yanaendelea.
TAARIFA YA KUPOTEA KWA FARAJA NICODEMU MWALONGO MIAKA 33
-
Kwa masikitiko makubwa, familia ya Mr. & Mrs. Boniventura Mwalongo wa
Nsalaga, Mbeya, inatangaza kupotea kwa mdogo wao anayefahamika kwa jina la
Faraja N...
1 hour ago
0 Comments