Mradi wa Ujenzi wa Mitaro ya maji machafu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar ukiendelea na ujenzi huo katika maeneo ni kero kwa wananchi wakati wa mvua za masika hujaa maji na kulazimika wananchi wa maeneo hayo kuhama katika maeneo yao kwa kujaa kwa maji.Kama inavyoonekana picha mafundi wa kampuni inayosimamia mradi huo wakiendelea na ujenzi wa mtaro huo katika eneo la Jang'ombe Unguja.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
16 hours ago
0 Comments