MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali afisi ya Pemba, Bakar Mussa Juma, akiomba kupata ufafanuzi kutoka kwa asasi za kiraia inayojishughulisha na kutoa mikopo kwa wajasiriamali na watu wengine kupitia benki ya Ummi, waliofika ofisi za Gazeti hilo kuzungumza na waandishi mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago
0 Comments