Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akishiriki katika zoezi la ujenzi wa Taifa wa katika ujenzi wa Maskani ya Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni kuimarisha Chama kwa ngazi za Matawi kusherehekea miaka 40 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi. Katika kuadhimisha miaka 40 ya CCM Uongozi wa CCM Mkoa wa Kusini umefanya ziara kutembelea Jimbo la Tunguu kujionea m,aendeleo ya kuimarisha Chama katika ngazi za Matawi kwa kuimarisha matawi yake.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
6 hours ago
0 Comments