Wafanyabiashara katika eneo la sebleni wakifanya biashara zao baada ya kuhamia eneo hilo lililotengwa kwa ajili yao baada ya kuhamishwa katika eneo la jua kali darajani na kuhamishiwa sehemu hiyo eneo la saateni ili kuendelea na biashara zao kama inavyoonekana pichani wakiwa katika eneo hilo.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago
0 Comments