Watalii wanaotembelea Zanzibar wakiwa katika ufukwe wa pwani ya forodhani wakijiandaa kuelekea katika kisiwa cha changuu kwa ajili kutembelea kisiwa hicho kujionea historia ya kisiwa hicho. Zanzibar ikiwa na vivutio vingi vya Utalii.
RAIS SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia
Suluhu Hassan, leo Julai 25, 2026 ameongoza Maadhimisho ya Siku ya
Kumbukumbu ya M...
1 hour ago
0 Comments