MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali ofisi ya Pemba, Bakari Mussa Juma akizungumza na wafanyakazi wa shirika hilo Ofisi ya Pemba, katika kikao maalumu cha kupanga mikakati mbali mbali ya kufanya kazi ili kuweza kuandika habari zinazoendana na soko la habari.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA)
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
eneo ...
7 hours ago
0 Comments