Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais Dk. Ali Mohammed Shein, wakimuonyesha kiti cha kukaa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli, walipoingia ukumbini, kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Dk Jakaya Kikwete, katika ukumbi wa Sekretarieti, katika jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo.Kamati kuu hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kupendekeza jina la Dkt Magufuli kuwa Mwenyekiti na baadae kuliwasilisha jina hilo kwenye Halmashauri kuu ya Taifa kwa ajili ya kupeleka kwenye mkutano.
SERIKALI YAPONGEZA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KWA UJENZI WA KARAKANA YA
UZALISHAJI VIPURI
-
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha
SERIKALI imeipongeza Menejimenti na uongozi wa chuo cha ufundi Arusha
(ATC), kutokana na bunifu mbalimbali zinazoende...
10 hours ago
0 Comments