JENGO la Mahkama kuu ya Pemba, likiwa katika
monekano mpya baada ya kumaliza kufanyiwa ukarabati wa hali ya juu, jengo hilo
linasubiri fanicha mpya, ili liweze kuhamiwa na kurudi kufanya kazi zake za
kama zamani.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
eneo ...
7 hours ago
0 Comments