Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania
Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Ali Machano (122) mmoja
kati ya Waasisi
wa ASP wakati alipomtembelea kumjulia hali kijijini kwake Moga Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo Disemba 24-2013. (Picha na OMR)
KUANZIA SASA WATAKAONG'ATWA NA NYOKA MUHEZA KUTIBIWA BURE
-
📍Ni baada ya MwanaFA kutoa fedha za kugharamia matibabu hayo
MUHEZA:
MBUNGE wa Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Mhe. Hami...
10 hours ago
0 Comments