Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Abdulhamid Ameir , kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Fatma Hamid Mahamoud, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
9 hours ago



2 Comments
Mzee Mapara,
ReplyDeletePicha ya juu sio Mkusa. Huyo ni Abdulhamid Ameir Issa. Nadhani picha ya chini ndio Mkusa.
Ahsante Mdau tutarekebisha
ReplyDelete