Dk Shein akikabidhiwa zawado ya mchoro wa Ikulu ya Zanzibar na mmoja wa akinamama.
Rais wa Zanzibar a Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akipokea maandamano ya Umoja wa wanawake wa Mikoa mitano ya Zanzibar, katika Viwanja vya Kisonge, Michenzani Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Miohammed Shein akiwahutubia akinamama wa mikoa mitano ya Zanzibar
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
10 hours ago
0 Comments