Mratibu wa Warsha ya Utegenezaji wa Vikaragosi juu Haki za Binaadamu Bi Ebele Okoye,akiongoza mafunzo ya Watoto kutengeneza Filamu za Vikatuni kwa watoto mbalimbali walioshiriki mafunzo hayo kwa Wanafunzi wa Skuli za Msingi Zanzibar wakati wa Tamasha la 19 la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) yaliofanyika katika Kituo cha Muziki Forodhani Zanzibar.
Deportivo La Coruña, Levante Uso kwa Uso Leo Usiku
-
TIMU za Deportivo La Coruña na Levante zinatarajiwa kukutana usiku wa leo
Ijumaa, Oktoba 16, 2026, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, LaLiga,
utakaopi...
20 hours ago
0 Comments