Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo,
akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (pichani), leo katika Ofisi
ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini
utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,
Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23,2020.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
13 hours ago
0 Comments