Mbio za Kimataifa za KMKM 10KM Marathoni zikiaza kutimua vumbi katika viwanja vya Kibweni ikiwa na washiriki 120 walioaza mbia hizo na kumalizia katika viwanja vya maisara Zanzibar.