Kikosi cha Timu ya Simba kiingia Uwanja tayari kupambana na Timu ya Mlandege katika mchezo wake wa kujipima nguvu kujiandaa na Mchezo wa Ngao ya Isani na Watao wao Yanga siku ya tarehe 23mwezi huu jijini Dar es Salaam.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
23 hours ago
0 Comments